0%

https://uongofu.com/wp-content/uploads/2021/06/services-head-1.png

760. Riyadhu Swalihina Mlango Wa Nidhamu Ya Kunywa Na Sunnah Ya Kupumua Nje Ya Chombo Mara Tatu

باب أدب الشرب واستحباب التنفس ثلاثاً خارج الإناء وكراهة التَّنَفُّس في الإناء واستحباب إدارة الإناء عَلَى الأيمن فالأيمن بعد المبتدئ


وعن سهلِ بن سعدٍ – رضي الله عنه -: أنَّ رسول الله – صلى الله عليه وسلم – أُتِيَ بِشرابٍ، فَشَرِبَ مِنْهُ وَعَنْ يَمِينِهِ غُلامٌ، وَعَنْ يَسَارِهِ أشْيَاخٌ، فَقَالَ للغُلامِ: { أتَأْذَنُ لِي أنْ أُعْطِيَ هؤُلاَءِ؟} فَقَالَ الغُلامُ: لا واللهِ، لا أُوثِرُ بنَصيبـي مِنْكَ أَحَداً. فَتَلَّهُ رسول الله – صلى الله عليه وسلم – في يَدِهِ.    متفقٌ عَلَيْهِ

قَوْله: { تَلَّهُ} أيْ وَضَعَهُ. وهذا الغلامُ هُوَ ابْنُ عباس – رضي الله عنهما


شرح الحديث مع فضيلة الشيخ خالد بن عثمان السبت حفظه الله تعالى


Imepokewa na Sahli bin Sad (Radhi za Allah ziwe juu yao) amesimulia: “Mtume ﷺ aliletewa kinywaji akanywa. Kuliani mwake alikuwepo kijana na kushotoni mwake muna wazee. Akamwuliza yule kijana: “Utaniruhusu nianze kuwapa hawa?” Yule kijana akasema: “Hapana Wallahi, siwezi kumtanguliza yeyote katika sehemu yangu (katika baraka zako).” Mtume ﷺ akamwekea mkononi mwake.” 

Kijana huyo alikuwa ni ‘Abdullâh bin ‘Abbâs (Radhi za Allah ziwe juu yao)   [ Wameafikiana Bukhari na Muslim.]


Begin typing your search above and press return to search.