August 9, 2023
0 Comments
باب احتمال الأذى
قَالَ الله تَعَالَى: ﴿وَالْكَاظِمِينَ الغَيْظَ والْعَافِينَ عَنِ النَّاسِ واللهُ يُحِبُّ المُحْسِنِينَ﴾ [ آل عمران: 134 ]
وقال تَعَالَى: ﴿وَلَمَن صَبَرَ وَغَفَرَ إنَّ ذَلِكَ لَمِنْ عَزْمِ الأُمُورِ﴾ [ الشورى: 43 ]
وفي الباب: الأحاديث السابقة في الباب قبله
شرح الحديث مع فضيلة الشيخ خالد بن عثمان السبت حفظه الله تعالى
75. MLANGO WA KUSAMEHE NA KUWAEPUKA MAJAHILI.
Mwenyezi Mungu Amesema: “Na wasamehevu kwa watu, na Allâh Huwapenda wafanyao mema.” [3:134].
Mwenyezi Mungu Amesema:“..na anayesubiri na kusamehe (atalipwa wema wake). Bila shaka hilo ni katika mambo makubwa ya kuazimiwa kufanywa (na kila Muislamu).” [42:43].
Na katika Mlango huu muna Hadîth zilzotangulia katika mlango uliotangulia.