0%

https://uongofu.com/wp-content/uploads/2021/06/services-head-1.png

744. Riyadhu Swalihina Mlango wa Maamrisho ya Mtu kula kando ya sinia, na makatazo ya kula katikati yake

باب الأمر بالأكل من جانب القصعة والنهي عن الأكل من وسطها


وعن عبد الله بن بُسْرٍ – رضي الله عنه -، قَالَ: كَانَ للنَّبِيِّ – صلى الله عليه وسلم – قَصْعَةٌ يُقَالُ لَهَا: الغَرَّاءُ يَحْمِلُهَا أرْبَعَةُ رجالٍ؛ فَلَمَّا أضْحَوْا وَسَجَدُوا الضُّحَى أُتِيَ بِتِلْكَ الْقَصْعَةِ؛ يعني وَقَدْ ثُردَ فِيهَا، فَالتَفُّوا عَلَيْهَا، فَلَمَّا كَثُرُوا جَثَا رسولُ الله – صلى الله عليه وسلم -. فَقَالَ أعرابيٌّ: مَا هذِهِ الجِلْسَةُ؟ فَقَالَ رسولُ الله – صلى الله عليه وسلم -: { إنَّ اللهَ جَعَلَنِي عَبْداً كَريماً، وَلَمْ يَجْعَلْنِي جَبَّاراً عَنِيداً}، ثُمَّ قَالَ رسولُ الله – صلى الله عليه وسلم -: { كُلُوا مِنْ حَوَالَيْهَا، وَدَعُوا ذِرْوَتَها يُبَارَكْ فِيهَا} رواه أَبُو داود بإسنادٍ جيد

{ ذِرْوَتها}: أعْلاَهَا بكسر الذال وضمها


شرح الحديث مع فضيلة الشيخ خالد بن عثمان السبت حفظه الله تعالى



Imepokewa na ‘Abdullâh bin Busri (Radhi za Allah ziwe juu yake) amesimulia: “Mtume   alikuwa ana sinia inayoitwa al-Gharrâ, inayobebwa na watu wanne. Ulipofika wakati wa Dhuhâ na wakaswali Swala ya Dhuhâ, ililetwa sinia ile, na ilikuwa imetiwa tharidi. Wakazunguka kando yake, walipokuwa ni wengi, Mtume alipiga goti. Mbedui mmoja akamwuliza: “Ni mkao gani huu?” Mtume akamwambia: “Hakika Allâh Amenijaalia ni mja karimu, wala Hakunijaalia ni jabari mkaidi.” Kisha Mtume akawaambia (Maswahaba): “Kuleni kando yake na muache juu yake, mutabarikiwa.”  [ Imepokewa na Abû Dâwûd ameipokea kwa isnadi Jayyid.]


Begin typing your search above and press return to search.