باب الأكل مِمَّا يليه ووعظه وتأديبه من يسيء أكله
وعن سلمةَ بن الأَكْوَع – رضي الله عنه -: أنَّ رَجُلاً أَكَلَ عِنْدَ رَسُولِ الله – صلى الله عليه وسلم – بِشِمَالِهِ، فَقَالَ: { كُلْ بِيَمِينِكَ} قَالَ: لا أسْتَطِيعُ. قَالَ: { لاَ اسْتَطَعْتَ} ! مَا مَنَعَهُ إِلاَّ الكِبْرُ ! فَمَا رَفَعَهَا إِلَى فِيهِ. رواه مسلم
شرح الحديث مع فضيلة الشيخ خالد بن عثمان السبت حفظه الله تعالى
Imepokewa na Salamah bin al-Akwa’ (Radhi za Allah ziwe juu yake) amesimulia: “Mtu mmoja alikula mbele ya Mtume (ﷺ) kwa mkono wake wa kushoto. (Mtume ﷺ) akamwambia: “Kula kwa mkono wako wa kulia.” Yule mtu akasema: “Siwezi!” (Mtume) akamwambia: “Mwana kutoweza!” Hakuna kilichomzuwia ispokuwa ni kibri. Basi hakuweza tena kuinua mkono wake hadi mdomoni mwake. [ Imepokewa na Muslim]