November 27, 2023
0 Comments
باب التسمية في أوله والحمد في آخره
وعن عائشة – رضي الله عنها -، قالت: كَانَ رسولُ الله – صلى الله عليه وسلم – يَأكُلُ طَعَاماً في سِتَّةٍ مِنْ أصْحَابِهِ، فَجَاءَ أعْرَابِيٌّ، فَأكَلَهُ بلُقْمَتَيْنِ. فَقَالَ رسولُ الله – صلى الله عليه وسلم -: { أما إنَّهُ لَوْ سَمَّى لَكَفَاكُمْ} رواه الترمذي، وقال: {حديث حسن صحيح}
شرح الحديث مع فضيلة الشيخ خالد بن عثمان السبت حفظه الله تعالى
Imepokewa na ‘Âisha (Radhi za Allah ziwe juu yake) amesema: “Siku moja Mtume (ﷺ) alikuwa akila chakula pamoja na Maswahaba zake sita. Akaja mbedui akakila chakula (chote) kwa matonge mawili. Mtume (ﷺ) akasema: “Lau anagalipiga Bismillâhi, chakula kingaliwatosha.” [ Imepokewa na Tirmidhy, na amesema: Hadîth hii ni Hasan Sahîh.]