October 10, 2023
0 Comments
باب استحباب تقديم اليمين في كل مَا هو من باب التكريم
وعن أَبي هريرة – رضي الله عنه -: أنَّ رسول الله – صلى الله عليه وسلم -، قَالَ: {إِذَا انْتَعَلَ أحَدُكُمْ فَلْيَبْدَأْ بِالْيُمْنَى، وَإِذَا نَزَعَ فَلْيَبْدأْ بِالشِّمَالِ. لِتَكُنْ اليُمْنَى أوَّلَهُمَا تُنْعَلُ، وَآخِرُهُمَا تُنْزَعُ} متفقٌ عَلَيْهِ
شرح الحديث مع فضيلة الشيخ خالد بن عثمان السبت حفظه الله تعالى
Imepokewa na Abû Huraira (Radhi za Allah ziwe juu yake) amesimulia kuwa Mtume (ﷺ) amesema: “Anapovaa viatu mmoja wenu, aanze upande wa kulia, na anapovua aanze upande wa kushoto. Upande wa kulia uwe ndio wa kwanza kuvaa na ni wa mwisho kuvua.” [ Wameafikiana Bukhari na Muslim]