October 10, 2023
0 Comments
باب استحباب تقديم اليمين في كل مَا هو من باب التكريم
وعن أم عطية – رضي الله عنها -: أنَّ النَّبيَّ – صلى الله عليه وسلم – قَالَ لهن في غَسْلِ ابْنَتِهِ زَيْنَبَ – رضي الله عنها -: {ابْدَأنَ بِمَيَامِنِهَا، وَمَوَاضِعِ الوُضُوءِ مِنْهَا} متفقٌ عَلَيْهِ
شرح الحديث مع فضيلة الشيخ خالد بن عثمان السبت حفظه الله تعالى
Imepokewa na Ummu ‘Atiyyah (Radhi za Allah ziwe juu yake) amesimulia: “Mtume (ﷺ) aliwaambia walipokuwa wakimwosha binti yake, Zainab (Radhi za Allah ziwe juu yake) : “Anzeni kwa upande wake wa kulia na sehemu zake za udhu.” [ Wameafikiana Bukhari na Muslim]