0%

https://uongofu.com/wp-content/uploads/2021/06/services-head-1.png

72. MLANGO WA UHARAMU WA KIBRI NA MAJIVUNO.

باب تحريم الكبر والإعجاب


قَالَ الله تَعَالَى: ﴿تِلْكَ الدَّارُ الآخِرَةُ نَجْعَلُهَا لِلَّذِينَ لاَ يُرِيدُونَ عُلُواً فِي الأَرْضِ وَلاَ فَسَاداً وَالعَاقِبَةُ لِلْمُتَّقِينَ﴾ [ القصص: 83 ]، وقال تعالى: ﴿وَلا تَمْشِ فِي الأَرْضِ مَرَحا﴾ [ الإسراء: 37 ]

وقال تَعَالَى: ﴿وَلاَ تُصَعِّرْ خَدَّكَ لِلنَّاسِ وَلاَ تَمْشِ فِي الأَرْضِ مَرَحاً إنَّ اللهَ لاَ يُحِبُّ كُلَّ مُخْتَالٍ فَخُورٍ﴾ [ لقمان: 18 ]

ومعنى { تُصَعِّر خَدَّكَ لِلنَّاسِ}: أيْ تُمِيلُهُ وتُعرِضُ بِهِ عَنِ النَّاسِ تَكَبُّراً عَلَيْهِمْ. وَ{ المَرَحُ}: التَّبَخْتُرُ

وقال تَعَالَى: ﴿إنَّ قَارُونَ كَانَ مِنْ قَوْمِ مُوسَى فَبَغَى عَلَيْهِمْ وَآتَيْنَاهُ مِنَ الكُنُوزِ مَا إنَّ مَفَاتِحَهُ لتَنُوءُ بِالعُصْبَةِ أُولِي القُوَّةِ إِذْ قَالَ لَهُ قَوْمُهُ لاَ تَفْرَحْ إنَّ اللهَ لاَ يُحِبُّ الفَرِحِينَ﴾ [ القصص: 76 ]، إِلَى قَوْله تَعَالَى: ﴿فَخَسَفْنَا بِهِ وَبِدَارِهِ الأَرْضَ﴾ الآيات


شرح الحديث مع فضيلة الشيخ خالد بن عثمان السبت حفظه الله تعالى



72. MLANGO WA UHARAMU WA KIBRI NA MAJIVUNO.


Mwenyezi Mungu Amesema: “Hayo ndiyo makaazi ya Akhera, Tumewafanyia wale wasiotaka kujitukuza duniani wala ufisadi. Na mwisho mwema ni wa wachamngu.” [28:83].

Mwenyezi Mungu Amesema: “Wala usitembee katika ardhi kwa maringo.”[17:37].

Mwenyezi Mungu Amesema: “Wala usiwabeuwe watu, wala usitembee katika nchi kwa maringo. Hakika Allâh Hampendi kila anayejivuna na kujifakhirisha.”  [31:18].

Mwenyezi Mungu Amesema: “Hakika Qaruni alikuwa katika watu wa Mûsâ, lakini aliwafanyia dhulma. Na Tulimpa khazina ambazo funguo zake zinawatopeza watu wenye nguvu kuzichukua. Walipomwambia watu wake: Usijigambe! Hakika Allâh Hawapendi wanaojigamba.” Mpaka:“Basi Tukamdidimiza yeye na na nyumba yake ardhini…”  [28:76-81 ]  Na Aya zinazoendelea mpaka mwisho wa kisa chake.


Begin typing your search above and press return to search.