0%

https://uongofu.com/wp-content/uploads/2021/06/services-head-1.png

716. Riyadhu Swalihina Mlango Wa Kumuaga Rafiki Na Kumuusia Wakati Wa Kuagana Naye Kwa Ajili Ya Safari Na Katika Hali Nyengine…

باب وداع الصاحب ووصيته عند فراقه للسفر وغيره والدعاء لَهُ وطلب الدعاء مِنْهُ


وعن أنسٍ – رضي الله عنه قَالَ: جَاءَ رَجُلٌ إِلَى النبي – صلى الله عليه وسلم -، فَقَالَ: يَا رسولَ الله، إنّي أُرِيدُ سَفَراً، فَزَوِّدْنِي، فَقَالَ: {زَوَّدَكَ الله التَّقْوَى} قَالَ: زِدْنِي قَالَ{وَغَفَرَ ذَنْبَكَ} قَالَ: زِدْنِي، قَالَ: {وَيَسَّرَ لَكَ الْخَيْرَ حَيْثُمَا كُنْتَ}    رواه الترمذي، وقال:     {حديث حسن}


شرح الحديث مع فضيلة الشيخ خالد بن عثمان السبت حفظه الله تعالى



Imepokewa na Anas (Radhi za Allah ziwe juu yake) amehadithia: “Mtu mmoja alikuja kwa Mtume (ﷺ)  , akamwambia: “Yâ Rasûlallâh, mimi nataka kusafiri, nipe akiba.” Akamwambia:Zawwadakallâhuttaqwâ. [Allâh Akupe akiba ya uchamungu].” Akamwambia: “Niongezee.” Akamwambia:Waghafara dhambak. [Na Akusamehe dhambi zako].” Akamwambia: “Niongezee.” Akamwambia: Wayassara lakal-khayra haythumâ kunt. [Na Akusahilishie kheri popote unapokuwa].”     [ Imepokewa na Tirmidhy, na amesema: Hadîth hii ni Hasan.]

Begin typing your search above and press return to search.