0%

https://uongofu.com/wp-content/uploads/2021/06/services-head-1.png

714. Riyadhu Swalihina Mlango Wa Kumuaga Rafiki Na Kumuusia Wakati Wa Kuagana Naye Kwa Ajili Ya Safari Na Katika Hali Nyengine…

باب وداع الصاحب ووصيته عند فراقه للسفر وغيره والدعاء لَهُ وطلب الدعاء مِنْهُ


وعن سالم بنِ عبدِ الله بنِ عمر: أنَّ عبدَ اللهِ بن عُمَرَ – رضي الله عنهما -، كَانَ يَقُولُ للرَّجُلِ إِذَا أرَادَ سَفَراً: ادْنُ مِنِّي حَتَّى أُوَدِّعَكَ كَمَا كَانَ رسولُ الله – صلى الله عليه وسلم – يُوَدِّعُنَا، فَيَقُولُ: {أَسْتَوْدِعُ اللهَ دِينَكَ، وَأمَانَتَكَ، وَخَواتِيمَ عَمَلِكَ}   رواه الترمذي، وقال: {حديث حسن صحيح}


شرح الحديث مع فضيلة الشيخ خالد بن عثمان السبت حفظه الله تعالى



Imepokewa na Sâlim bin ‘Abdullâh bin ‘Umar amesimulia kuwa ‘Abdullâh bin ‘Umar (Radhi za Allah ziwe juu yao) alikuwa akimwambia anayetaka kusafiri: “Nikaribie ili nikuage kama alivyokuwa Mtume  (ﷺ) akituaga.” Na akimwambia: Astawdi‘ullâha dînak, wa amânatak wa khawâtîma a’mâlik. [Namwachia Allâh Dini yako, Aliyokuachia amana na hatima ya amali yako].”   [ Imepokewa na Tirmidhy, na amesema: Hadîth hii ni Hasan Sahîh.]

Begin typing your search above and press return to search.