0%

https://uongofu.com/wp-content/uploads/2021/06/services-head-1.png

706. Riyadhu Swalihina Mlango Wa Kumkirimu Mgeni

باب إكرام الضيف


وعن أَبي شُرَيْح خُوَيْلِدِ بن عَمرو الخُزَاعِيِّ – رضي الله عنه -، قَالَ: سَمِعْتُ رسول الله – صلى الله عليه وسلم -، يقول: {مَنْ كَانَ يُؤْمِنُ بِاللهِ وَاليَوْمِ الآخِرِ فَلْيُكْرِمْ ضَيْفَهُ جَائِزَتَهُ} قالوا: وَمَا جَائِزَتُهُ؟ يَا رسول الله، قَالَ: {يَوْمُهُ وَلَيْلَتُهُ، وَالضِّيَافَةُ ثَلاَثَةُ أيَّامٍ، فَمَا كَانَ وَرَاءَ ذَلِكَ فَهُوَ صَدَقَةٌ عَلَيْهِ}    متفقٌ عَلَيْهِ

وفي رواية لِمسلمٍ: {لاَ يَحِلُّ لِمُسْلِمٍ أنْ يُقِيمَ عِنْدَ أخِيهِ حَتَّى يُؤْثِمَهُ} قالوا: يَا رسول الله، وَكيْفَ يُؤْثِمُهُ؟ قَالَ: {يُقِيمُ عِنْدَهُ وَلاَ شَيْءَ لَهُ يُقْرِيه بِهِ}


شرح الحديث مع فضيلة الشيخ خالد بن عثمان السبت حفظه الله تعالى



Imepokewa na Abû Shuraih, Khuwailid bin ‘Amri al-Khuza‘iy (Radhi za Allah ziwe juu yake) amesema: “Nilimsikia Mtume  (ﷺ)  akisema: “Anayemwamini Allâh na Siku ya mwisho amkirimu mgeni wake tunu yake.” Maswahaba wakauliza: “Yâ Rasûlallâh, tunu yake ni ipi?” Akawajibu: “Mchana wake na usiku wake. Ugeni ni siku tatu, inapozidi hapo, itakuwa ni sadaka.”    [ Wameafikiana Bukhari na Muslim ] .

 Riwaya nyingine ya Muslim imesema: “Si halali kwa Muislamu kuketi kwa nduguye (Muislamu) mpaka amtie katika dhambi.” Maswahaba wakauliza: “Yâ Rasûlallâh, atamtia vipi katika dhambi?” Akawajibu: “Aketi kwake naye (mwenyeji wake) hana kitu cha kumwandalia.”


Begin typing your search above and press return to search.