0%

https://uongofu.com/wp-content/uploads/2021/06/services-head-1.png

703. Riyadhu Swalihina Mlango WA Sunnah kwenda kuswali, katika kikao cha ilimu na mfano wake miongoni mwa ibada nyinginezo kwa utulivu na makini

باب الندب إِلَى إتيان الصلاة والعلم ونحوهما من العبادات بالسكينة والوقار


وعن أَبي هريرة – رضي الله عنه -، قَالَ: سَمِعْتُ رسول الله – صلى الله عليه وسلم -، يقول: {إِذَا أُقِيمَتِ الصَّلاَةُ، فَلاَ تَأتُوهَا وَأنْتُمْ تَسْعَونَ، وَأتُوهَا وَأنْتُمْ تَمْشُونَ، وَعَلَيْكُمُ السَّكِينَةُ، فَمَا أدْرَكْتُم فَصَلُّوا، وَمَا فَاتكُمْ فَأَتِمُّوا}    متفقٌ عَلَيْهِ

زاد مسلِمٌ في روايةٍ لَهُ: {فَإنَّ أحَدَكُمْ إِذَا كَانَ يَعْمِدُ إِلَى الصَّلاَةِ فَهُوَ في صَلاَةٍ}


شرح الحديث مع فضيلة الشيخ خالد بن عثمان السبت حفظه الله تعالى



Imepokewa na Abû Huraira (Radhi za Allah ziwe juu yake) amesema: “Nilimsikia Mtume (ﷺ) akisema: “Swala inapokimiwa, msiiyendee kwa haraka, nendeni katika Swala mkiwa mnatembea (kikawaida), na kuweni watulivu, (rakaa) mtakayoikuta mtaiswali na itakayowapita mtaitimiza.”    [ Wameafikiana Bukhari na Muslim].

Muslim amezidisha katika riwaya yake nyingine: “..kwani mmoja wenu anapokusudia kuiyendea Swala, huwa yuko katika Swala.”


Begin typing your search above and press return to search.