0%

https://uongofu.com/wp-content/uploads/2021/06/services-head-1.png

694. Riyadhu Swalihina Mlango Wa Sunnah Ya Kusema Maneno Mazuri Na Kuwa Na Uso Wa Bashasha Wakati Wa Kukutana Na Mtu.

باب استحباب طيب الكلام وطلاقة الوَجه عند اللقاء


وعن أَبي ذَرٍّ – رضي الله عنه -، قَالَ: قَالَ لي رسول الله – صلى الله عليه وسلم -: {لاَ تَحْقِرَنَّ مِنَ الْمَعْرُوفِ شَيْئاً، وَلَوْ أنْ تَلْقَى أخَاكَ بوَجْهٍ طَلْقٍ}     رواه مسلم


شرح الحديث مع فضيلة الشيخ خالد بن عثمان السبت حفظه الله تعالى



Imepokewa kutoka kwa Abû Dharri (Radhi za Allah ziwe juu yake)  amesema: “Mtume (ﷺ) aliniambia: “Usidharau chochote katika wema hata kama ni kumtazama nduguyo (Muislamu) kwa uso wenye bashasha.”  [ Imepokewa na Muslim ]. 


Begin typing your search above and press return to search.