0%

https://uongofu.com/wp-content/uploads/2021/06/services-head-1.png

693. Riyadhu Swalihina Mlango Wa Sunnah Ya Kusema Maneno Mazuri Na Kuwa Na Uso Wa Bashasha Wakati Wa Kukutana Na Mtu.

باب استحباب طيب الكلام وطلاقة الوَجه عند اللقاء


وعن أَبي هريرة – رضي الله عنه -: أنَّ النبيَّ – صلى الله عليه وسلم -، قَالَ: {وَالكَلِمَةُ الطَّيِّبَةُ صَدَقَةٌ}    متفقٌ عَلَيْهِ

وَهُوَ بعض حديث تقدم بطولِه


شرح الحديث مع فضيلة الشيخ خالد بن عثمان السبت حفظه الله تعالى



Imepokewa kutoka kwa Abû Huraira (Radhi za Allah ziwe juu yake) amesimulia: “Mtume (ﷺ) amesema:  “…na maneno mazuri ni sadaka.”  [ Wameafikiana Bukhari na Muslim ]. Hadîth hii ni sehemu ya Hadîth iliotangulia kwa urefu.


Begin typing your search above and press return to search.