July 25, 2023
0 Comments
باب استحباب العزلة عند فساد الناس والزمان أَو الخوف من فتنة في الدين ووقوع في حرام وشبهات ونحوها
قَالَ الله تَعَالَى: ﴿فَفِرُّوا إِلَى اللهِ إنِّي لَكُمْ مِنْهُ نَذِيرٌ مبِينٌ﴾ [ الذاريات: 50 ]
شرح الحديث مع فضيلة الشيخ خالد بن عثمان السبت حفظه الله تعالى
69. MLANGO WA UCHAMUNGU NA KUACHA SHUBHA (YENYE KUTIA SHAKA)MLANGO WA YAPENDEKEZWA MTU KUWA PWEKE ZAMA WATU WAKIHARIBIKA, AU KWA KUCHELEA FITINA KATIKA DINI AU KUINGIA KATIKA HARAMU, SHUBHA NA MFANO WAKE
Mwenyezi Mungu Amesema: “Basi kimbilieni kwa Allâh, hakika mimi ni mwonyaji kwenu wa kubainisha nitokae Kwake.” [51:50].