0%

https://uongofu.com/wp-content/uploads/2021/06/services-head-1.png

682. Riyadhu Swalihina Mlango Wa Kuona Haya Fadhila Zake Na Mahimizo Ya Kuwa Nayo

باب الحياء وفضله والحث على التخلق به


وعن أَبي هريرة – رضي الله عنه -: أنَّ رسول الله – صلى الله عليه وسلم -، قَالَ: {الإيمَانُ بِضْعٌ وَسَبْعُونَ أَوْ بِضْعٌ وَسِتُّونَ شُعْبَةً: فَأفْضَلُهَا قَوْلُ: لاَ إلهَ إِلاَّ الله، وَأدْنَاهَا إمَاطَةُ الأَذَى عَنِ الطَّرِيقِ، وَالحَيَاءُ شُعْبَةٌ مِنَ الإيمَانِ}    متفقٌ عَلَيْهِ


شرح الحديث مع فضيلة الشيخ خالد بن عثمان السبت حفظه الله تعالى



Imepokewa kutoka kwa Abû Huraira (Radhi za Allah ziwe juu yake) amesimulia: “Mtume (ﷺ) amesema: “Imani ni sabiini na kitu” au aliema: “Ni sitiini na kitu, ilio bora zaidi ni kusema Lâ ilâha illallâh [Hakuna anayestahiki kuabudiwa kwa haki ispokuwa ni Allâh tu_, na ya chini ni kuondoa taka njiani; na kuona haya ni utanzu katika tanzu za imani.”     [ Wameafikiana Bukhari na Muslim ].


Begin typing your search above and press return to search.