0%

https://uongofu.com/wp-content/uploads/2021/06/services-head-1.png

677. Riyadhu Swalihina Mlango Wa Msisitizo kwa mtawala kadhi (hakimu) na wenginio wenyea Madaraka wajichagulie Waziri wema…

باب حث السلطان والقاضي وغيرهما من ولاة الأمور عَلَى اتخاذ وزير صالح وتحذيرهم من قرناء السوء والقبول منهم


وعن أَبي سعيدٍ وأبي هريرة – رضي الله عنهما -: أنَّ رسولَ الله – صلى الله عليه وسلم -، قَالَ: { مَا بَعَثَ اللهُ مِنْ نَبِيٍّ، وَلاَ اسْتَخْلَفَ مِنْ خَليفَةٍ إِلاَّ كَانَتْ لَهُ بِطَانَتَانِ: بِطَانَةٌ تَأمُرُهُ بالمَعْرُوفِ وتَحُضُّهُ عَلَيْهِ، وَبِطَانَةٌ تَأمُرُهُ بالشَّرِّ وَتَحُضُّهُ عَلَيْهِ، وَالمَعْصُومُ مَنْ عَصَمَ اللهُ}     رواه البخاري


شرح الحديث مع فضيلة الشيخ خالد بن عثمان السبت حفظه الله تعالى



Imepokewa kutoka kwa Abû Sa‘îd na Abû Huraira (Radhi za Allah ziwe juu yao ) wamepokea kuwa Mtume (ﷺ) amesema: “Allâh Hakumtumiliza Nabii wala Hakumuweka Khalifa ila alikuwa ana wasiri wawili, msiri anayemuamuru mema na anamsisitiza katika mema, na msiri anayemwamuru mabaya na anamsisitiza katika mabaya. Na anayelindwa na Allâh ndiye anayeepuka mabaya.”   [Imepokelewa na Muslim].

Begin typing your search above and press return to search.