0%

https://uongofu.com/wp-content/uploads/2021/06/services-head-1.png

671. Riyadhu Swalihina Mlango Wa Wajibu Wa Kuwatii Wenye Madaraka Katika Jambo Ambalo Si La Kumuasi Allah Na Uharamu Wa Kuwatii Katika Maasia

 باب وجوب طاعة ولاة الأمر في غير معصية وتحريم طاعتهم في المعصية


وعن ابن عباسٍ – رضي الله عنهما -: أن رسول الله – صلى الله عليه وسلم -، قَالَ: { مَنْ كَره مِنْ أمِيرِهِ شَيْئاً فَلْيَصْبِرْ، فَإنَّهُ مَنْ خَرَجَ مِنَ السُّلطَانِ شِبْراً مَاتَ مِيتَةً جَاهِلِيَّةً}     متفقٌ عَلَيْهِ


شرح الحديث مع فضيلة الشيخ خالد بن عثمان السبت حفظه الله تعالى



Imepokewa kutoka kwa Abdullâh bin ‘Abbâs (Radhi za Allah ziwe juu yake )  amesimulia: “Mtume (ﷺ) amesema: “Atakayechukia jambo alilonalo kiongozi wake, asubiri. Hakika atakayetoka katika utiifu wa kiongozi shubiri moja, atakufa kifo cha kijahiliya.”    [ Wameafikiana Bukhari na Muslim.]

Begin typing your search above and press return to search.