0%

https://uongofu.com/wp-content/uploads/2021/06/services-head-1.png

669. Riyadhu Swalihina Mlango Wa Wajibu Wa Kuwatii Wenye Madaraka Katika Jambo Ambalo Si La Kumuasi Allah Na Uharamu Wa Kuwatii Katika Maasia

 باب وجوب طاعة ولاة الأمر في غير معصية وتحريم طاعتهم في المعصية


وعن عبد الله بن مسعود – رضي الله عنه -، قَالَ: قَالَ رسولُ الله – صلى الله عليه وسلم -: { إنَّهَا سَتَكُونُ بَعْدِي أثَرَ وَأُمُورٌ تُنْكِرُونَهَا !} قالوا: يَا رسول الله، كَيْفَ تَأمُرُ مَنْ أدْرَكَ مِنَّا ذَلِكَ؟ قَالَ: { تُؤَدُّونَ الحَقَّ الَّذِي عَلَيْكُمْ، وَتَسْأَلُونَ اللهَ الَّذِي لَكُمْ}     متفقٌ عَلَيْهِ


شرح الحديث مع فضيلة الشيخ خالد بن عثمان السبت حفظه الله تعالى



Imepokewa kutoka kwa Abdullâh bin Mas‘ûd (Radhi za Allah ziwe juu yake ) amesimulia: “Mtume (ﷺ) amesema: “Hakika baada yangu kutakuwepo ubinafsi (umimi) na mambo ambayo hamtokubaliana nayo.” Maswahaba wakauliza: “Yâ Rasûlallâh, kwa hivyo wamuamuru vipi kati yetu atakayekutana na hali hiyo?” Akawaambia: “Mutaitekeleza haki inayowapasa, na mumuombe Allâh ambacho ni chenu.” [ Wameafikiana Bukhari na Muslim.]

Begin typing your search above and press return to search.