August 14, 2023
0 Comments
باب وجوب طاعة ولاة الأمر في غير معصية وتحريم طاعتهم في المعصية
وعن أَبي هريرة – رضي الله عنه -، قَالَ: قَالَ رسول الله – صلى الله عليه وسلم -: { عَلَيْكَ السَّمْعُ وَالطَّاعَةُ في عُسْرِكَ وَيُسْرِكَ، وَمَنْشَطِكَ وَمَكْرَهِكَ، وَأثَرَةٍ عَلَيْكَ} رواه مسلم
شرح الحديث مع فضيلة الشيخ خالد بن عثمان السبت حفظه الله تعالى
Imepokewa kutoka kwa Abû Huraira (Radhi za Allah ziwe juu yake ) amesema: “Mtume (ﷺ) amesema: “Inakulazimu kusikiliza na kutii katika uzito wako na wepesi wako, kupenda kwako na kuchukia kwako na katika hali ambayo mtu mwingine hufadhilishwa kuliko wewe.” [Imepokewa na Muslim.]