0%

https://uongofu.com/wp-content/uploads/2021/06/services-head-1.png

662. Riyadhu Swalihina Mlango wa wajibu wa kuwatii wenye Madaraka katika jambo ambalo si la Kumuasi Allah na uharamu wa Kuwatii katika Maasia

 باب وجوب طاعة ولاة الأمر في غير معصية وتحريم طاعتهم في المعصية


وعن ابن عمر – رضي الله عنهما -، عن النبيِّ – صلى الله عليه وسلم -، قَالَ: { عَلَى المَرْءِ الْمُسْلِمِ السَّمْعُ والطَّاعَةُ فِيمَا أحَبَّ وكَرِهَ، إِلاَّ أنْ يُؤْمَرَ بِمَعْصِيةٍ، فَإذَا أُمِرَ بِمَعْصِيةٍ فَلاَ سَمْعَ وَلاَ طَاعَةَ}    متفقٌ عَلَيْهِ


شرح الحديث مع فضيلة الشيخ خالد بن عثمان السبت حفظه الله تعالى



Imepokewa kutoka kwa Abdullâh bin ‘Umar (Radhi za Allah ziwe juu yake ) amesimulia: “Mtume (ﷺ) amesema: “Inamlazimu mtu Muislamu kusikia na kutii katika analolipenda na analolichukia, ispokuwa aamrishwe maasia, atakapoamrishwa maasia hakuna kusikiza wala kutii.”  [ Wameafikiana Bukhari na Muslim.]

Begin typing your search above and press return to search.