0%

https://uongofu.com/wp-content/uploads/2021/06/services-head-1.png

66. MLANGO WA SUNNAH YA KUZURU MAKABURI KWA WANAUME NA YANAYOSEMWA NA MWENYE KUZURU

باب استحباب زيارة القبور للرجال وما يقوله الزائر


عن بُرَيْدَة – رضي الله عنه -، قَالَ: قَالَ رسول الله – صلى الله عليه وسلم -: { كُنْتُ نَهَيْتُكُمْ عن زِيَارَةِ القُبُورِ فَزُوروها}    رواه مسلم

وفي رواية: { فَمَنْ أرَادَ أنْ يَزُورَ القُبُورَ فَلْيَزُرْ؛ فإنَّهَا تُذَكِّرُنَا الآخِرَةَ}


شرح الحديث مع فضيلة الشيخ خالد بن عثمان السبت حفظه الله تعالى



66. MLANGO WA SUNNAH YA KUZURU MAKABURI KWA WANAUME NA YANAYOSEMWA NA MWENYE KUZURU


Imepokewa kutoka kwa Buraidah (Radhi za Allah ziwe juu yao)  amesema: “Mtume amesema: “Nilikuwa nimewakataza kuzuru makaburi, kwa hivyo yazuruni.”    [ Imepokewa na Muslim.]

 Riwaya nyingine imesema: “…basi anayetaka kuzuru makaburi na azuru, kwani hutukumbusha Akhira.”


Begin typing your search above and press return to search.