August 13, 2023
0 Comments
باب الوالي العادل
وعن عبدِ اللهِ بن عَمرو بن العاص – رضي الله عنهما -، قَالَ: قَالَ رسولُ الله – صلى الله عليه وسلم -: { إنَّ المُقْسِطِينَ عِنْدَ اللهِ عَلَى مَنَابِرَ مِنْ نُورٍ: الَّذِينَ يَعْدِلُونَ في حُكْمِهِمْ وأَهْلِيْهِم وَمَا وَلُوْا} رواه مسلم
شرح الحديث مع فضيلة الشيخ خالد بن عثمان السبت حفظه الله تعالى
Imepokewa kutoka kwa ‘Abdullâh bin ‘Amri bin al-‘Âs (Radhi za Allah ziwe juu yao ) amesema: “Mtume (ﷺ) amesema: “Hakika waadilifu, watakuwa kwa Allâh juu ya mimbari za nuru, ambao wanafanya uadilifu katika hukumu zao, jamaa zao na yalio chini ya mamlaka yao.” [ Imepokewa na Muslim.]