0%

https://uongofu.com/wp-content/uploads/2021/06/services-head-1.png

655. Riyadhu Swalihina Mlango Wa Maamrisho Kwa Watawala Kuwafanyia Upole Raia Zao, Kuwanasihi Na Kuwahurumia..

باب أمر وُلاة الأمور بالرفق برعاياهم ونصيحتهم والشفقة عليهم والنهي عن غشهم والتشديد عليهم وإهمال مصالحهم والغفلة عنهم وعن حوائجهم


وعن أَبي هريرة – رضي الله عنه -، قَالَ: قَالَ رسول الله – صلى الله عليه وسلم -: { كَانَتْ بَنُو إسرَائِيلَ تَسُوسُهُم الأَنبِيَاء، كُلَّمَا هَلَكَ نَبِيٌّ خَلَفَهُ نَبيٌّ، وَإنَّهُ لاَ نَبِيَّ بَعْدِي، وَسَيكُونُ بَعْدِي خُلفَاءُ فَيَكثرُونَ}، قالوا: يَا رسول الله، فَمَا تَأْمُرُنَا؟ قَالَ: { أَوْفُوا بِبَيْعَةِ الأَوَّل فَالأَوَّل، ثُمَّ أعْطُوهُمْ حَقَّهُمْ، وَاسْأَلُوا الله الَّذِي لَكُمْ، فَإنَّ اللهَ سَائِلُهُمْ عَمَّا اسْتَرْعَاهُمْ}     متفقٌ عليه


شرح الحديث مع فضيلة الشيخ خالد بن عثمان السبت حفظه الله تعالى



Imepokewa kutoka kwa Abû Huraira (Radhi za Allah ziwe juu yake ) amesema: “Mtume (ﷺ) amesema: “Wana wa Israili walikuwa wakiongozwa na Manabii, kila anapokufa Nabii humwacha Nabii mwingine. Hakika hakutakuwa na Nabii baada yangu. Baada yangu watakuwepo Makhalifa, na watakuwa wengi.” Maswahaba wakauliza: “Yâ Rasûlallâh, watuamrisha jambo gani?” Akawambia: “Tekelezeni baia ya mmoja baada ya mmoja, kisha wapeni haki yao nanyi mumuombe Allâh haki yenu, hakika Allâh Atawauliza wao kuhusu Aliowajaalia usimamizi.”     [ Wameafikiana Bukhari na Muslim ].


Begin typing your search above and press return to search.