0%

https://uongofu.com/wp-content/uploads/2021/06/services-head-1.png

654. Riyadhu Swalihina Mlango Wa Maamrisho Kwa Watawala Kuwafanyia Upole Raia Zao, Kuwanasihi Na Kuwahurumia..

باب أمر وُلاة الأمور بالرفق برعاياهم ونصيحتهم والشفقة عليهم والنهي عن غشهم والتشديد عليهم وإهمال مصالحهم والغفلة عنهم وعن حوائجهم


 وعن عائشة – رضي الله عنها -، قالت: سَمِعْتُ رسول الله – صلى الله عليه وسلم -، يقول في بيتي هَذَا: { اللَّهُمَّ مَنْ وَلِيَ مِنْ أمْرِ أُمَّتِي شَيْئاً فَشَقَّ عَلَيْهِمْ، فاشْقُقْ عَلَيْهِ، وَمَنْ وَلِيَ مِنْ أَمْرِ أُمَّتِي شَيْئاً فَرَفَقَ بِهِمْ، فَارفُقْ بِهِ} رواه مسلم


شرح الحديث مع فضيلة الشيخ خالد بن عثمان السبت حفظه الله تعالى



Imepokewa kutoka kwa Âisha (Radhi za Allah ziwe juu yao)  amesema: “Nilimsikia Mtume (ﷺ) akiomba dua katika nyumba yangu hii: “Ewe Mola, atakyaesimamia jambo katika umati wangu na akawadhiki, basi Nawe Mdhiki! Na atakayesimamia jambo katika umati wangu, akawahurumia, Nawe Mhurumie.” [ Imepokewa na Muslim.]


Begin typing your search above and press return to search.