0%

https://uongofu.com/wp-content/uploads/2021/06/services-head-1.png

648. Riyadhu Swalihina Mlango Wa Kuwa na Ghadhabu yanapokeukwa Matakatifu ya Allah na Kuinusuru Dini yake

باب الغضب إِذَا انتهكت حرمات الشّرع والانتصار لدين الله تعالى


وعن أَبي مسعود عقبة بن عمرو البدري – رضي الله عنه -، قَالَ: جَاءَ رَجُلٌ إِلَى النبيِّ – صلى الله عليه وسلم -، فَقَالَ: إنِّي لأَتَأخَّرُ عَن صَلاةِ الصُّبْحِ مِنْ أَجْلِ فلانٍ مِمَّا يُطِيلُ بِنَا ! فَمَا رَأيْتُ النَّبيَّ – صلى الله عليه وسلم – غَضِبَ في مَوْعِظَةٍ قَطُّ أشَدَّ مِمَّا غَضِبَ يَوْمَئذٍ؛ فَقَالَ: { يَا أَيُّهَا النَّاسُ، إنَّ مِنْكُمْ مُنَفِّرِينَ، فَأيُّكُمْ أمَّ النَّاسَ فَلْيُوجِزْ؛ فَإنَّ مِنْ وَرَائِهِ الكَبِيرَ وَالصَّغِيرَ وَذَا الحَاجَةِ}      متفقٌ عَلَيْهِ


شرح الحديث مع فضيلة الشيخ خالد بن عثمان السبت حفظه الله تعالى



Imepokewa kutoka kwa Abû Mas‘ûd, ‘Uqbah bin ‘Amri al-Badry (Radhi za Allah ziwe juu yake) amesimulia: “Mtu mmoja alimjia Mtume (ﷺ) akasema: “Mimi huwa nikitaakhari katika Swala ya asubuhi kwa ajili ya fulani kwa vile anavyoturefushia (Swala).” Basi katu hakuna siku niliowahi kumuona Mtume (ﷺ) akikasirika katika mawaidha kwa ukali kuliko alivyokasirika siku hiyo. Akasema: “Enyi watu! Hakika miongoni mwenu muna wanaofarakisha. Yeyote miongoni mwenu anayeswalisha watu, akhafifishe; kwani nyuma yake muna mzee, mtoto na mwenye haja (dharura).”    [ Wameafikiana Bukhari na Muslim].   


Begin typing your search above and press return to search.