0%

https://uongofu.com/wp-content/uploads/2021/06/services-head-1.png

646. Riyadhu Swalihina Mlango Wa Kusamehe Na Kuwaepuka Majahili.

باب العفو والإعراض عن الجاهلين


 وعن أَبي هريرة – رضي الله عنه -: أنَّ رسول الله – صلى الله عليه وسلم -، قَالَ: { لَيْسَ الشَّديدُ بِالصُّرَعَةِ، إنَّمَا الشَّدِيدُ الَّذِي يَمْلِكُ نَفْسَهُ عِنْدَ الْغَضَبِ}      متفقٌ عَلَيْهِ


شرح الحديث مع فضيلة الشيخ خالد بن عثمان السبت حفظه الله تعالى



Imepokewa kutoka kwa Abû Huraira (Radhi za Allah ziwe juu yake)   amesimulia: “Mtume (ﷺ) amesema: “Mwenye nguvu sio yule awashindae watu kwa miereka, bali mwenye nguvu ni anayemiliki nafsi yake wakati wa hasira.”      [ Wameafikana Bukhari na Muslim].


Begin typing your search above and press return to search.