0%

https://uongofu.com/wp-content/uploads/2021/06/services-head-1.png

644. Riyadhu Swalihina Mlango Wa Kusamehe Na Kuwaepuka Majahili.

باب العفو والإعراض عن الجاهلين


وعن أنس – رضي الله عنه -، قَالَ: كُنْتُ أمشي مَعَ رسول الله – صلى الله عليه وسلم – وَعَلَيْهِ بُرْدٌ نَجْرَانيٌّ غَلِيظُ الحَاشِيَةِ، فأدْرَكَهُ أعْرَابِيٌّ فَجَبذَهُ بِرِدَائِهِ جَبْذَةً شَديدةً، فَنَظَرْتُ إِلَى صَفْحَةِ عَاتِقِ النَّبيِّ – صلى الله عليه وسلم -، وَقَدْ أثَّرَتْ بِهَا حَاشِيَةُ الرِّدَاءِ مِنْ شِدَّةِ جَبْذَتِهِ، ثُمَّ قَالَ: يَا مُحَمَّدُ، مُر لِي مِنْ مَالِ اللهِ الَّذِي عِنْدَكَ. فَالتَفَتَ إِلَيْهِ، فَضَحِكَ ثُمَّ أَمَرَ لَهُ بِعَطَاءٍ.       متفقٌ عَلَيْهِ


شرح الحديث مع فضيلة الشيخ خالد بن عثمان السبت حفظه الله تعالى



Imepokewa kutoka kwa Anas (Radhi za Allah ziwe juu yake)  amesimulia: “Nilikuwa nikitembea pamoja na Mtume (ﷺ) , alikuwa amevaa shuka ya kutoka Najrân yenye pindo gumu. Akakutana na mbedui, akamvuta kwa nguvu shuka yake, nikautazama weupe wa shingo ya Mtume (ﷺ) , ule upindo wa shuka ulikua umemwathiri kutokana na kuvutwa kwa nguvu. Kisha akamwambia: “Ee Muhammad, amrisha nipewe mali ya Allâh yalioko kwako!” Mtume (ﷺ) akamzungukia, akacheka, kisha akaamuru apewe kitu.” [ Wameafikana Bukhari na Muslim].


Begin typing your search above and press return to search.