0%

https://uongofu.com/wp-content/uploads/2021/06/services-head-1.png

643. Riyadhu Swalihina Mlango Wa Kusamehe na kuwaepuka Majahili.

باب العفو والإعراض عن الجاهلين


وعن عائشة – رضي الله وعنها، قالت: مَا ضَرَبَ رسولُ الله – صلى الله عليه وسلم – شَيْئاً قَطُّ بِيَدِهِ، وَلاَ امْرَأةً وَلاَ خَادِماً، إِلاَّ أنْ يُجَاهِدَ فِي سَبيلِ اللهِ، وَمَا نِيلَ مِنْهُ شَيْءٌ قَطُّ فَيَنْتَقِمَ مِنْ صَاحِبِهِ، إِلاَّ أن يُنْتَهَكَ شَيْءٌ مِنْ مَحَارِمِ اللهِ تَعَالَى، فَيَنْتَقِمُ للهِ تَعَالَى.    رواه مسلم


شرح الحديث مع فضيلة الشيخ خالد بن عثمان السبت حفظه الله تعالى



Imepokewa kutoka kwa Âisha (Radhi za Allah ziwe juu yake)  Amesimulia: “Mtume (ﷺ) hakupiga chochote katu kwa mkono wake, wala mwanamke wala mtumishi, ila apigane Jihadi katika Njia ya Allâh, wala hakuudhiwa na yeyote katu akajilipizia kisasi, ispokuwa livunjwe jambo takatifu la Allâh, hapo huchukua kisasi kwa ajili ya Allâh.”    [ Imepokewa na Muslim].


Begin typing your search above and press return to search.