0%

https://uongofu.com/wp-content/uploads/2021/06/services-head-1.png

641. Riyadhu Swalihina Mlango Wa Upole, Uangalifu Na Utulivu.

باب الحلم والأناة والرفق


وعن ابن مسعود – رضي الله عنه -، قَالَ: قَالَ رسول الله – صلى الله عليه وسلم -: { ألا أخْبِرُكُمْ بِمَنْ يَحْرُمُ عَلَى النَّار؟ أَوْ بِمَنْ تَحْرُمُ عَلَيْهِ النَّار؟ تَحْرُمُ عَلَى كُلِّ قَرِيبٍ، هَيّنٍ، لَيِّنٍ، سَهْلٍ}    رواه الترمذي، وقال: {حديث حسن}


شرح الحديث مع فضيلة الشيخ خالد بن عثمان السبت حفظه الله تعالى



Imepokewa kutoka kwa Abdullâh bin Mas‘ûd (Radhi za Allah ziwe juu yake)  amesema: “Mtume (ﷺ) amesema: “Je, niwaeleze mtu ambaye ni haramu kuingia motoni? Ni haramu kuingia motoni kila aliye karibu zaidi na watu, mpole, mlaini na sahali.”     [ Imepokewa na Tirmidhy, na amesema: Hadîth hii ni Hasan. ]


Begin typing your search above and press return to search.