0%

https://uongofu.com/wp-content/uploads/2021/06/services-head-1.png

640. Riyadhu Swalihina Mlango Wa Upole, Uangalifu Na Utulivu.

باب الحلم والأناة والرفق


وعن عائشة – رضي الله عنها -، قالت: مَا خُيِّرَ رسول الله – صلى الله عليه وسلم – بَيْنَ أمْرَيْنِ قَطُّ إِلاَّ أَخَذَ أيْسَرَهُمَا، مَا لَمْ يَكُنْ إثماً، فَإنْ كَانَ إثماً، كَانَ أبْعَدَ النَّاسِ مِنْهُ. وَمَا انْتَقَمَ رسول الله – صلى الله عليه وسلم – لِنَفْسِهِ في شَيْءٍ قَطُّ، إِلاَّ أن تُنْتَهَكَ حُرْمَةُ الله، فَيَنْتَقِمَ للهِ تَعَالَى.    متفقٌ عَلَيْهِ


شرح الحديث مع فضيلة الشيخ خالد بن عثمان السبت حفظه الله تعالى



Imepokewa kutoka kwa Âisha (Radhi za Allah ziwe juu yake) ameeleza: “Mtume (ﷺ) katu hakukhiyarishwa baina ya mambo mawili ila huchagua lililo sahali madamu halijakuwa ni la dhambi, linapokuwa ni la dhambi huwa wa kwanza kuliepuka. Wala Mtume (ﷺ) katu hakujilipizia kisasi nafsi yake katika jambo lolote, ispokuwa mambo Matakatifu ya Allâh yakivunjwa, hapo atachukua kisasi kwa ajili ya Allâh.” [ Wameafikiana Bukhari na Muslim.]


Begin typing your search above and press return to search.