0%

https://uongofu.com/wp-content/uploads/2021/06/services-head-1.png

64. MLANGO WA UBORA WA TAJIRI ANAESHUKURU; NAYE NI ANAECHUKUA MALI KWA NJIA ZAKE NA AKAITUMIA KATIKA NJIA ALIZOAMRISHWA

باب فضل الغَنِيّ الشاكر وهو من أخذ المال من وجهه وصرفه في وجوهه المأمور بِهَا


قَالَ الله تَعَالَى: (فَأَمَّا مَنْ أعْطَى وَاتَّقَى وَصَدَّقَ بِالحُسْنَى فَسَنُيَسِّرُهُ لِليُسْرَى) [ الليل: 5-7 ]

وقال تَعَالَى: ﴿وَسَيُجَنَّبُهَا الأَتْقَى الَّذِي يُؤْتِي مَالَهُ يَتَزَكَّى وَمَا لأَحَدٍ عِنْدَهُ مِنْ نِعْمَةٍ تُجْزَى إِلاَّ ابْتِغَاءَ وَجْهِ رَبِّهِ الأَعْلَى وَلَسَوْفَ يَرْضَى﴾ [ الليل: 17-21 ]

وقال تَعَالَى: ﴿إنْ تُبْدُوا الصَّدَقَاتِ فَنِعِمَّا هِي وَإنْ تُخْفُوهَا وَتُؤْتُوهَا الفُقراءَ فَهُوَ خَيْرٌ لَكُمْ وَيُكَفِّرُ عَنْكُمْ مِنْ سَيِّئَاتِكُمْ وَاللهُ بِمَا تَعْمَلُونَ خَبِيرٌ﴾ [ البقرة: 271 ]

وقال تَعَالَى: ﴿لَنْ تَنَالُوا الْبِرَّ حَتَّى تُنْفِقُوا مِمَّا تُحِبُّونَ وَمَا تُنْفِقُوا مِنْ شَيْءٍ فَإِنَّ اللهَ بِهِ عَلِيمٌ﴾ [ آل عمران: 92 ]

والآيات في فضلِ الإنفاقِ في الطاعاتِ كثيرة معلومة


شرح الحديث على آيات الباب مع فضيلة الشيخ خالد بن عثمان السبت حفظه الله تعالى



64. MLANGO WA UBORA WA TAJIRI ANAESHUKURU; NAYE NI ANAECHUKUA MALI KWA NJIA ZAKE NA AKAITUMIA KATIKA NJIA ALIZOAMRISHWA. MLANGO WA KUSHINDANA KATIKA MAMBO YA AKHIRA NA KUJIZIDISHIA YANAYOTABARUKIWA


Mwenyezi Mungu Amesema: “Yule anaetoa (Zaka, sadaka na vinginevyo) na akamcha Allâh na akasadiki jambo jema (akalifwata), Tutamsahilishia yalio mepesi (njia ya kwenda Peponi).” ” [92 : 5-7].

Mwenyezi Mungu Amesema: “Na amchaye (Allâh) ataepushwa nao (moto). Ambaye hutoa mali yake kwa ajili ya kujitakasa. Na hali ya kuwa hakuna yeyote aliemfanyia ihsani ili awe anamlipa. Ispokuwa (anafanya haya) kwa kutaka radhi ya Mola wake Mtukufu. Basi atapata la kumridhisha.”  [92 :17-216].

Mwenyezi Mungu Amesema: “Kama mkitoa sadaka kwa dhahiri ni vizuri; na kama mkitoa kwa siri na kuwapa mafukara, basi huo ni ubora zaidi kwenu; na Atawaondolea (sehemu ya) maovu yenu (mkifanya hivyo); na Allâh Anazo habari za (yote) mnayoyatenda.” [ 2 : 271].

Mwenyezi Mungu Amesema: “Kabisa hamtafikia wema mpaka mtoe katika vile mnavyovipenda. Na kitu chochote mnachokitoa basi hakika Allâh Anakijua.”  [ 3 : 92].


Begin typing your search above and press return to search.