0%

https://uongofu.com/wp-content/uploads/2021/06/services-head-1.png

639. Riyadhu Swalihina Mlango Wa Upole, Uangalifu Na Utulivu.

باب الحلم والأناة والرفق


وعن أَبي يعلى شَدَّاد بن أوسٍ – رضي الله عنه -، عن رسول الله – صلى الله عليه وسلم -، قَالَ: { إنَّ الله كَتَبَ الإحْسَانَ عَلَى كُلِّ شَيْءٍ فَإذَا قَتَلْتُم فَأحْسِنُوا القِتْلَة، وَإِذَا ذَبَحْتُمْ فَأحْسِنُوا الذِّبْحَةَ، وَليُحِدَّ أَحَدُكُمْ شَفْرَتَه، وَلْيُرِح ذَبِيحَتَهُ}    رواه مسلم


شرح الحديث مع فضيلة الشيخ خالد بن عثمان السبت حفظه الله تعالى



Imepokewa kutoka kwa Abu Ya’lâ, Shaddâd bin Aws (Radhi za Allah ziwe juu yake)  amesimulia: “Mtume (ﷺ) amesema: “Hakika Allâh Ameandika wema katika kila jambo. Mnapouwa, uweni kwa namna nzuri, na mnapochinja, chinjeni kwa uzuri. Mmoja wenu akinoe kisu chake na amuondolee mashaka mnyama anayemchinja.”     [ Imepokewa na Muslim.]


Begin typing your search above and press return to search.