August 4, 2023
0 Comments
باب الحلم والأناة والرفق
وعن عائشة – رضي الله عنها -: أنَّ النبيَّ – صلى الله عليه وسلم -، قَالَ: { إنَّ اللهَ رَفِيقٌ يُحِبُّ الرِّفقَ، وَيُعْطي عَلَى الرِّفق، مَا لاَ يُعْطِي عَلَى العُنْفِ، وَمَا لاَ يُعْطِي عَلَى مَا سِوَاهُ} رواه مسلم
شرح الحديث مع فضيلة الشيخ خالد بن عثمان السبت حفظه الله تعالى
Imepokewa kutoka kwa Âisha (Radhi za Allah ziwe juu yake) ameeleza kuwa Mtume (ﷺ) amesema: “Hakika Allâh ni Mpole, Anapenda upole, na Hutoa ujira juu ya upole Asioutoa kwa jambo lingine lolote wala Hatoi juu ya ukali.” [ Imepokewa na Muslim.]