0%

https://uongofu.com/wp-content/uploads/2021/06/services-head-1.png

626. Riyadhu Swalihina Mlango Wa Tabia Njema.

باب حسن الخلق


وعن أَبي هريرة – رضي الله عنه -، قَالَ: سُئِلَ رسولُ الله – صلى الله عليه وسلم – عَنْ أكثرِ مَا يُدْخِلُ النَّاسَ الْجَنَّةَ؟ قَالَ: { تَقْوَى اللهِ وَحُسنُ الخُلُقِ}، وَسُئِلَ عَنْ أكْثَرِ مَا يُدْخِلُ النَّاسَ النَّارَ، فَقَالَ: { الفَمُ وَالفَرْجُ}       رواه الترمذي، وقال: {حديث حسن صحيح}


شرح الحديث مع فضيلة الشيخ خالد بن عثمان السبت حفظه الله تعالى



Imepokewa kutoka kwa Abû Huraira (Radhi za Allah ziwe juu yake) amesimulia: “Mtume alulizwa kuhusu jambo ambalo aghlabu huwaingiza watu Peponi. Akajibu: Ni kumcha Allâh na tabia njema.” Na akaulizwa kuhusu jambo ambalo aghlabu huwaingiza watu motoni. Akajibu: “Ni mdomo na uchi.” [ Imepokewa na Tirmidhy, na amesema: Hadîth hii ni Hasan Sahîh.]


Begin typing your search above and press return to search.