0%

https://uongofu.com/wp-content/uploads/2021/06/services-head-1.png

625. Riyadhu Swalihina Mlango Wa Tabia Njema.

باب حسن الخلق


وعن أَبي الدرداءِ – رضي الله عنه -: أن النبي – صلى الله عليه وسلم -، قَالَ: { مَا مِنْ شَيْءٍ أثْقَلُ في مِيزَانِ العبدِ المُؤْمِنِ يَوْمَ القِيَامَةِ مِنْ حُسْنِ الخُلُقِ، وَإنَّ الله يُبْغِضُ الفَاحِشَ البَذِيَّ}       رواه الترمذي، وقال: {حديث حسن صحيح}

{ البَذِيُّ}: هُوَ الَّذِي يتكلَّمُ بِالفُحْشِ ورديء الكلامِ


شرح الحديث مع فضيلة الشيخ خالد بن عثمان السبت حفظه الله تعالى



Imepokewa kutoka kwa Abuuddardâi (Radhi za Allah ziwe juu yake) amehadithia kuwa Mtume amesema: “Hakuna jambo lenye uzito mwingi katika mizani ya Mwumini Siku ya Qiyama kushinda tabia njema. Kwa hakika Allâh Humchukia mwenye vitendo vichafu na maneno machafu.”     [ Imepokewa na Tirmidhy na amesema: Hadîth hii ni Hasan Sahîh.]


Begin typing your search above and press return to search.