89%

https://uongofu.com/wp-content/uploads/2021/06/services-head-1.png

624. Riyadhu Swalihina Mlango Wa Tabia Njema.

باب حسن الخلق


عن عبد الله بن عمرو بن العاص – رضي الله عنهما -، قَالَ: لَمْ يكن رسولُ الله – صلى الله عليه وسلم – فَاحِشاً وَلاَ مُتَفَحِّشاً، وكان يَقُولُ: { إنَّ مِنْ خِيَارِكُمْ أحْسَنَكُمْ أخْلاَقاً}    متفقٌ عَلَيْهِ


شرح الحديث مع فضيلة الشيخ خالد بن عثمان السبت حفظه الله تعالى



Imepokewa kutoka kwa ‘Abdullâh bin ‘Amri bin al-‘Âs (Radhi za Allah ziwe juu yake) amesema: “Mtume hakuwa ana tabia mbaya wala hakuwa mwenye kujilazimisha mabaya. Alikuwa akisema: “Hakika katika wabora wenu ni wenye tabia nzuri.”    [ Wameafikiana Bukhari na Muslim ]


Begin typing your search above and press return to search.