August 3, 2023
0 Comments
باب حسن الخلق
وعن الصعب بن جَثَّامَةَ – رضي الله عنه -، قَالَ: أهديتُ رسولَ الله – صلى الله عليه وسلم – حِمَاراً وَحْشِيّاً، فَرَدَّهُ عَلَيَّ، فَلَمَّا رأى مَا في وجهي، قَالَ: { إنّا لَمْ نَرُدَّهُ عَلَيْكَ إِلاَّ لأنّا حُرُمٌ } متفقٌ عَلَيْهِ
شرح الحديث مع فضيلة الشيخ خالد بن عثمان السبت حفظه الله تعالى
Imepokewa kutoka kwa As–Sa’b bin Jatthâmah (Radhi za Allah ziwe juu yake) amehadithia: “Nilimpa Mtume ﷺ zawadi ya punda-milia, akanirudishia. Alipoona mabadiliko usoni mwangu alinambia: “Hakika hatukukurudishia ispokuwa ni kwa kuwa tumehirimia (Hajj).” [ Wameafikiana Bukhari na Muslim ]