August 3, 2023
0 Comments
باب حسن الخلق
وعن أنس – رضي الله عنه -، قال: كَانَ رسولُ الله – صلى الله عليه وسلم – أحْسَنَ النَّاس خُلُقاً. متفقٌ عَلَيْهِ
شرح الحديث مع فضيلة الشيخ خالد بن عثمان السبت حفظه الله تعالى
Imepokewa kutoka kwa Anas (Radhi za Allah ziwe juu yake) ameeleza: “Mtume ﷺ alikuwa mwenye tabia nzuri kuwaliko watu wote.” [Wameafikiana Bukhari na Muslim ]