0%

https://uongofu.com/wp-content/uploads/2021/06/services-head-1.png

618. Riyadhu Swalihina Mlango Wa Uharamu Wa Kibri Na Majivuno.

 باب تحريم الكبر والإعجاب


وعن أَبي هريرة – رضي الله عنه: أنَّ رسول الله – صلى الله عليه وسلم -، قَالَ: { بَيْنَمَا رَجُلٌ يَمشِي في حُلَّةٍ تُعْجِبُهُ نَفْسُهُ، مُرَجِّلٌ رَأسَهُ، يَخْتَالُ فِي مَشْيَتهِ، إِذْ خَسَفَ اللهُ بِهِ، فَهُوَ يَتَجَلْجَلُ في الأَرضِ إِلَى يَوْمِ القِيَامَةِ}     متفقٌ عَلَيْهِ


شرح الحديث مع فضيلة الشيخ خالد بن عثمان السبت حفظه الله تعالى


Imepokewa kutoka kwa Abû Huraira (Radhi za Allah ziwe juu yake)  amesimulia: “Mtume amesimulia: “Mtu mmoja alipokuwa anatembea akiwa amevaa mavazi yaliomfanya ajivune moyoni mwake, akiwa amechana nywele zake, anafanya kibri katika mwenendo wake, kwa ghafula Allâh Akamdidimiza. Mtu huyo (hivi sasa) anaendelea kudidimia katika ardhi hadi Siku ya Qiyama.”  [ Wameafikiana Bukhari na Muslim]


Begin typing your search above and press return to search.