0%

https://uongofu.com/wp-content/uploads/2021/06/services-head-1.png

614. Riyadhu Swalihina Mlango Wa Uharamu Wa Kibri Na Majivuno.

 باب تحريم الكبر والإعجاب


وعن أَبي سعيد الخدري – رضي الله عنه -، عن النبي – صلى الله عليه وسلم -، قَالَ: { احْتَجّتِ الجَنَّةُ وَالنَّارُ، فَقَالَت النَّارُ: فيَّ الْجَبَّارُونَ والمُتَكَبِّرُونَ. وقالتِ الجَنَّةُ: فيَّ ضُعفاءُ الناس ومساكينُهُم، فقضى اللهُ بَينهُما: إنكِ الجنّةُ رَحْمَتِي أرْحَمُ بِك مَنْ أشَاءُ، وَإنَّكِ النَّارُ عَذَابِي أُعَذِّبُ بِكِ مَنْ أشَاءُ، وَلِكِلَيْكُمَا عَلَيَّ مِلْؤُهَا}    رواه مسلم


شرح الحديث مع فضيلة الشيخ خالد بن عثمان السبت حفظه الله تعالى


Imepokewa kutoka kwa Abû Sa‘îd al-Khudry (Radhi za Allah ziwe juu yake) amesimulia: “Mtume amesema: “Pepo na moto zilikhasimiana. Moto ukasema: “Kwangu kunapatikana watu majabari na wenye kibri.” Pepo ikasema: “Kwangu kunapatikana watu madhaifu na masikini wao.” Allâh Akahukumu baina ya Pepo na moto: “Wewe Pepo ni rehma Yangu, Nitamrehemu kwa sababu yako Nimtakaye. Na wewe moto ni adhabu Yangu, Nitamwadhibu Nimtakae kwa sababu yako, na nyote Nitawajaza.”   [ Imepokewa na Muslim ]


Begin typing your search above and press return to search.