July 31, 2023
0 Comments
باب تحريم الكبر والإعجاب
وعن حارثة بن وهْبٍ – رضي الله عنه -، قَالَ: سَمِعْتُ رسول الله – صلى الله عليه وسلم -، يقول: { ألا أُخْبِرُكُمْ بأهْلِ النَّار: كلُّ عُتُلٍ جَوّاظٍ مُسْتَكْبرٍ} متفقٌ عَلَيْهِ،
وتقدم شرحه في بابِ ضعفةِ المسلمين
شرح الحديث مع فضيلة الشيخ خالد بن عثمان السبت حفظه الله تعالى
Imepokewa kutoka kwa Hârithah bin Wahbi (Radhi za Allah ziwe juu yake) amesema: “Nilimsikia Mtume ﷺ akisema: “Je, niwaeleze mtu wa motoni? Ni kila mwenye moyo mgumu mwenye mwendo wa maringo mwenye kibri.” [ Wameafikiana Bukhari na Muslim]
Sherehe yake imetangulia katika Mlango wa wanyonge katika Waislamu.