July 31, 2023
0 Comments
باب تحريم الكبر والإعجاب
وعن سلمة بن الأكوع – رضي الله عنه -: أنّ رَجُلاً أكَلَ عِنْدَ رسول الله – صلى الله عليه وسلم – بشمالِهِ، فَقَالَ: { كُلْ بيَمِينِكَ} قَالَ: لاَ أسْتَطِيعُ ! قَالَ: { لا اسْتَطَعْتَ} مَا مَنَعَهُ إِلاَّ الكِبْرُ. قَالَ: فما رفَعها إِلَى فِيهِ. رواه مسلم
شرح الحديث مع فضيلة الشيخ خالد بن عثمان السبت حفظه الله تعالى
Imepokewa kutoka kwa Salamah bin al-Akwa’ (Radhi za Allah ziwe juu yake) amesimulia: “Mtu mmoja alikula kwa Mtume ﷺ kwa mkono wake wa kushoto. (Mtume ﷺ) akamwambia: “Kula kwa mkono wako wa kulia.” Yule mtu akasema: “Siwezi!” (Mtume) akamwambia: “Mwana kutoweza!” Hakuna kilichomzuwia ispokuwa ni kibri. Basi hakuweza tena kuinua mkono wake hadi mdomoni mwake. [ Imepokewa na Muslim ]