باب التواضع وخفض الجناح للمؤمنين
عن أنس – رضي الله عنه -، قَالَ: كَانَتْ ناقةُ رسول الله – صلى الله عليه وسلم – العضْبَاءُ لاَ تُسْبَقُ، أَوْ لاَ تَكَادُ تُسْبَقُ، فَجَاءَ أعْرَابيٌّ عَلَى قَعودٍ لَهُ، فَسَبَقَهَا، فَشَقَّ ذَلِكَ عَلَى الْمُسْلِمِينَ حَتَّى عَرَفَهُ، فَقَالَ: { حَقٌّ عَلَى اللهِ أنْ لاَ يَرْتَفِعَ شَيْءٌ مِنَ الدُّنْيَا إِلاَّ وَضَعَهُ} رواه البخاري
شرح الحديث مع فضيلة الشيخ خالد بن عثمان السبت حفظه الله تعالى
Imepokewa kutoka kwa Anas (Radhi za Allah ziwe juu yake) amehadithia: “Alikuwa ngamia wa Mtume ﷺ anayeitwa Al-‘Adhbâ hashindwi au hakaribii kushindwa. Akaja mbedui na ngamia wake ambaye ni wa kupandwa (tu), akamshinda (al-‘Adhbâ). Jambo hili likawa zito kwa Waislamu hata Mtume ﷺ akajua. Akasema: “Ni haki kwa Allâh kuwa chochote katika dunia kinapoinuka Yeye Hukiangusha.” [ Imepokewa na Bukhari ]