0%

https://uongofu.com/wp-content/uploads/2021/06/services-head-1.png

607. Riyadhu Swalihina Mlango Wa Kuwanyenyekea Waumini

باب التواضع وخفض الجناح للمؤمنين


وعن أنس – رضي الله عنه -: أن رسول الله – صلى الله عليه وسلم – كَانَ إِذَا أكَلَ طَعَاماً، لَعِقَ أصَابِعَهُ الثَّلاَثَ. قَالَ: وقال: { إِذَا سَقَطَتْ لُقْمَةُ أَحَدِكُمْ فَلْيُمِط عنها الأَذى، وليَأكُلْها وَلاَ يَدَعْها لِلشَّيْطان} وأمرَ أن تُسلَتَ القَصْعَةُ، قَالَ: { فإنَّكُمْ لاَ تَدْرُونَ في أيِّ طَعَامِكُمُ البَرَكَة}      رواه مسلم


شرح الحديث مع فضيلة الشيخ خالد بن عثمان السبت حفظه الله تعالى


Imepokewa kutoka kwa Anas (Radhi za Allah ziwe juu yake) amesimulia kuwa Mtume alipokuwa anapomaliza kula akiviramba vidole vyake vitatu. Na akisema: “Linapoanguka tonge la mmoja wenu, aondoe taka (iliyoingia) na alile wala asimwachie shetani.” Na ameamuru sahani iwe ikirambwa, amesema: “Kwani hamjui baraka iko sehemu gani katika chakula chenu.”    [ Imepokewa na Muslim ]


Begin typing your search above and press return to search.