0%

https://uongofu.com/wp-content/uploads/2021/06/services-head-1.png

606. Riyadhu Swalihina Mlango Wa Kuwanyenyekea Waumini

باب التواضع وخفض الجناح للمؤمنين


وعن أَبي رِفَاعَةَ تَميم بن أُسَيْدٍ – رضي الله عنه -، قَالَ: انْتَهَيْتُ إِلَى رَسولِ الله – صلى الله عليه وسلم – وَهُوَ يخطب، فقلت: يَا رسول الله، رَجُلٌ غَريبٌ جَاءَ يَسْألُ عن دِينهِ لا يَدْرِي مَا دِينُهُ؟ فَأقْبَلَ عَليَّ رسولُ اللهِ – صلى الله عليه وسلم -، وتَرَكَ خُطْبَتَهُ حَتَّى انْتَهَى إلَيَّ، فَأُتِيَ بِكُرْسيٍّ، فَقَعَدَ عَلَيْهِ، وَجَعَلَ يُعَلِّمُنِي مِمَّا عَلَّمَهُ اللهُ، ثُمَّ أَتَى خُطْبَتَهُ فَأتَمَّ آخِرَهَا.       رواه مسلم


شرح الحديث مع فضيلة الشيخ خالد بن عثمان السبت حفظه الله تعالى


Imepokewa kutoka kwa Abû Rifâ‘ah, Tamîm bin Usaid (Radhi za Allah ziwe juu yake) amesimulia: “Nilienda kwa Mtume  akiwa anahutubia. Nikamwambia: “Yâ Rasûlallâh, mtu mgeni amekuja kuuliza juu ya Dini yake, hajui Dini yake.” Mtume  akanijia na akaacha kuhutubu hata akafika kwangu, akaletewa kiti akaketi juu yake, akawa ananifundisha Aliyofundishwa na Allâh, kisha akaenda akamaliza khutba yake.” [ Imepokewa na Muslim ]


Begin typing your search above and press return to search.