0%

https://uongofu.com/wp-content/uploads/2021/06/services-head-1.png

600. Riyadhu Swalihina Mlango Wa Yanayopendekezwa Kwa Kuwa Pweke Zama Za Watu Wakiharibika Au Kuchelea Fitna….

 باب استحباب العزلة عند فساد الناس والزمان أَو الخوف من فتنة في الدين ووقوع في حرام وشبهات ونحوها


وعن أَبي هريرة – رضي الله عنه -عن رسول الله – صلى الله عليه وسلم -، أنَّه قَالَ: { مِنْ خَيْرِ مَعَاشِ النَّاسِ لهم رَجُلٌ مُمْسِكٌ عِنَانَ فَرَسِهِ في سَبيلِ الله، يَطيرُ عَلَى مَتْنِهِ كُلَّمَا سَمِعَ هَيْعَةً أَوْ فَزعَةً، طَارَ عَلَيْهِ يَبْتَغِي القَتْلَ، أَوْ المَوْتَ مَظَانَّه، أَوْ رَجُلٌ فِي غُنَيمَةٍ في رَأسِ شَعَفَةٍ مِنْ هذِهِ الشَّعَفِ، أَوْ بَطنِ وَادٍ مِنْ هذِهِ الأَوْدِيَةِ، يُقِيمُ الصَّلاَةَ، وَيُؤتِي الزَّكَاةَ، وَيَعْبُدُ رَبَّهُ حَتَّى يأتِيَهُ اليَقِينُ، لَيْسَ مِنَ النَّاسِ إِلاَّ فِي خَيْرٍ}     رواه مسلم.


شرح الحديث مع فضيلة الشيخ خالد بن عثمان السبت حفظه الله تعالى


Imepokewa kutoka kwa Abû Huraira (Radhi za Allah ziwe juu yake) amesimulia: “Mtume amesema: “Mtu mwenye maisha bora katika watu ni alieshika lijamu ya farasi wake katika Njia ya Allâh, anaharakisha juu ya mgongo wa farasi wake, kila anaposikia sauti ya vita au sauti ya fazaa huharakisha kwenda akitaka kufa au kuyakimbilia mauti mahala panapodhaniwa, au mtu aliye katika mbuzi wake katika kilele (cha jabali) miongoni mwa vilele hivi au katika jangwa miongoni mwa majangwa haya, anasimamisha Swala, anatoa Zaka na anamwabudu Mola wake mpaka mauti yamjie, hatangamani na watu ila kwa kheri.”    [ Imepokewa na Muslim]


Begin typing your search above and press return to search.