0%

https://uongofu.com/wp-content/uploads/2021/06/services-head-1.png

599. Riyadhu Swalihina Mlango Wa Yanayopendekezwa Kwa Kuwa Pweke Zama Za Watu Wakiharibika Au Kuchelea Fitna….

 باب استحباب العزلة عند فساد الناس والزمان أَو الخوف من فتنة في الدين ووقوع في حرام وشبهات ونحوها


وعن أَبي هريرة – رضي الله عنه -، عن النبي – صلى الله عليه وسلم -، قَالَ: { مَا بَعَثَ اللهُ نَبِيّاً إِلاَّ رَعَى الْغَنَمَ} فَقَالَ أصْحَابُهُ: وأنْتَ؟ قَالَ: { نَعَمْ، كُنْتُ أرْعَاهَا عَلَى قَرَارِيطَ لأَهْلِ مَكَّةَ}      رواه البخاري


شرح الحديث مع فضيلة الشيخ خالد بن عثمان السبت حفظه الله تعالى


Imepokewa kutoka kwa Abû Huraira (Radhi za Allah ziwe juu yake) amesimulia: “Mtume amesema: “Allâh Hakumtuma Nabii yeyote ila alichunga mbuzi.” Maswahaba wakamwuliza: “Hata nawe?” Akajibu: “Ndio, nilikuwa nikiwachungia watu wa Makkah kwa ujira wa qirati (sehemu katika sarafu iliokuwa ikitumika zamani, ni kama kusema shilingi) kadhaa.”    [ Imepokewa na Bukhari]


Begin typing your search above and press return to search.