0%

https://uongofu.com/wp-content/uploads/2021/06/services-head-1.png

598. Riyadhu Swalihina Mlango Wa Yanayopendekezwa Kwa Kuwa Pweke Zama Za Watu Wakiharibika Au Kuchelea Fitna….

 باب استحباب العزلة عند فساد الناس والزمان أَو الخوف من فتنة في الدين ووقوع في حرام وشبهات ونحوها


وعن سعد بن أَبي وقاص – رضي الله عنه -، قَالَ: قَالَ رسول الله – صلى الله عليه وسلم -: { يُوشِكُ أنْ يَكُونَ خَيْرَ مَالِ المُسْلِمِ غَنَمٌ يَتَّبعُ بِهَا شَعَفَ الجِبَالِ، وَمَواقعَ الْقَطْر يَفِرُّ بِدينِهِ مِنَ الفِتَنِ}       رواه البخاري


شرح الحديث مع فضيلة الشيخ خالد بن عثمان السبت حفظه الله تعالى


Imepokewa kutoka kwa Abû Sa‘îd al-Khudry (Radhi za Allah ziwe juu yake) amesema: “Mtume   amesema: “Yakaribia iwe mali bora ya Muislamu ni mbuzi akienda nao katika vilele vya milima na maangukio ya mvua, akikimbia na Dini yake kutokana na fitna.”   [ Imepokewa na Bukhari]


Begin typing your search above and press return to search.