باب الورع وترك الشبهات
وعن نافِع: أن عُمَرَ بن الخَطّاب – رضي الله عنه – كَانَ فَرَضَ لِلمُهَاجِرينَ الأَوَّلِينَ أرْبَعَةَ الآفٍ وَفَرَضَ لابْنِهِ ثَلاَثَة آلافٍ وَخَمْسَمئَةٍ، فَقيلَ لَهُ: هُوَ مِنَ المُهَاجِرينَ فَلِمَ نَقَصْتَهُ؟ فَقَالَ: إنَّمَا هَاجَرَ بِهِ أبُوهُ. يقول: لَيْسَ هُوَ كَمَنْ هَاجَرَ بِنَفْسِهِ. رواه البخاري
شرح الحديث مع فضيلة الشيخ خالد بن عثمان السبت حفظه الله تعالى
68. MLANGO WA UCHAMUNGU NA KUACHA SHUBHA (YENYE KUTIA SHAKA)
Imepokewa kutoka kwa Nâfi’ amesimulia: “‘Umar bin al-Khattâb (Radhi za Allah ziwe juu yake) aliwakadiria Muhajirina wa mwanzo malipo ya elfu nne, na akamkadiria mwanaye malipo ya elfu tatu na mia tano. Akaambiwa kuwa: “Yeye ni katika Muhajirina mbona umempunguzia?” Akajibu kuwa: “Baba yake ndiye aliehajiri pamoja naye, yeye si kama aliehajiri mwenyewe.” [ Imepokewa na Bukhari ]